 |
| Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi (kulia)akimkabidhi
mifuko 20 ya Saruji Mwakilishi wa Jimbo la Kwmtipura Mh. Hamza Hassan Juma kwa
ajili ya uendelezaji ujenzi wa Matawi ya Chama hicho yaliyomo ndani ya Jimbo
hilo. |
 |
| Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Magodoro Matano Mwakilishi wa
Jimbo la Kwamtipura Mh. Hamza Hassan Juma kwa ajili ya Hospitali ya Jimbo hilo
iliyopo Mikunguni Mjini Zanzibar. |
 |
| Mwakilishi wa
Jimbo la Kwamtipura Mh.Hamza Hassan Juma akipokea msaada wa Vitanda 12 kwa ajili
ya Hospitali ya Jimbo la Kamtipura ili kuongezewa nguvu ya utoaji huduma
Hospitali hiyo. |
on Saturday, February 2, 2013
Post a Comment