Wabunge wa upinzani wakijiandaa kutoka nje ya ukumbi
wa Bunge mjini Dodoma leo baada ya
kukataa hoja ya kukataliwa
hoja ya Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia ambapo
ametakiwa aondoe ambapo amekataa.
Baadhi ya Wabunge wa Upinzani wakiwa nje ya viwanja
vya Bunge baada kutoka kupinga kwa kukataliwa kwa hoja ya Mbunge wa
Kuteuliwa (NCCR-MAGEUZI) James Mbatia kuambia aondoe hoja yake na kukataa jana
Bungeni.
Baadhi
ya Wabunge wa Vyama vya Upinzani wakitoka ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa NCCR- MAGEUZI, James Mbatia baada ya kuambiwa
aondoe hoja yake mezani ambako alikataa,(Picha na Mwanakombo Jumaa-
MAELEZO).



Post a Comment