Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMATI YA UGAWAJI MIPIRA YAKUTANA NA RAIS DK. SHEIN

 

IMG_8601
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya ugawaji Mipira
kutoka mradi wa “ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRIKA”,chini ya Mwenyekiti
wake Bi.Sharifa Khamis Salim,pia akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa
la Michezo,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.{Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.}
IMG_8634Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea mpira ukiwa ni miongoni mwa
mipira kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo Bi.Sharifa
Khamis Salim,alipofika Ikulu kukabidhi mipira hiyo pamoja na kamati ya
ugawaji mipira hiyo,kutoka mradi wa “ONE WORLD FOOTBALL FOR
AFRIKA”,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.{Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.}
IMG_8642Katibu wa Kamati ya Ugawaji wa Mipira ya Mradi wa
“ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRIKA”, Khamis Abdalla Said,akitoa maelezo
mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,wakati kamati hiyo ilipofika Ikulu Mjni Zanzibar
kukabidhi Mipira kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,leo.{Picha na Ramadhan Othma
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top