Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Eng.Evalist Ndikiro akitembelea kiwanda cha kinywaji aina ya Nzagamba. Wa pili
Kushoto ni Mkurugenzi wa kinywaji hicho, Kilowi Suma, Meneja Uzalishaji,
Nyamoronga John na Mdeneja Mauzo, Ashraf Gugu.
Mkuu wa Mkoa Mwanza
Eng.Evarist Ndikilo akikagua sehemu wanapochujia kinywaji aina ya
Nzagamba.
Kushoto ni Mkurugenzi wa kinywaji cha Nzagabwa Kiroi
Suma akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Ndfikilo Kulia
alipo tembelea kiwanda hicho katikati ni Mkuu wa kiwanda cha Nzagamba Bw.Patrick
Phiri.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Eng.Evarist Ndikilo akiangalia pakti mpya baada ya uzinduzi wa Kinywaji hicho.
Kulia ni Meneja uzalishaji, Nyamoronga John
Imechotwa: Habari Mseto Blog
Post a Comment