Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LE MUTUZ: SIONI SABABU YA WAZIRI WA ELIMU KUONDOKA.

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: I SMELL FISH, NA SIKUBALIANI NA HOJA YA KUTAKA WAZIRI WA ELIMU KAWAMBWA AJIUZULU KWA SABABU SIAMINI KWAMBA NI TATIZO LAKE WANAFUNZI WETU WAMEFELI SANA, MWAKA JANA WALIOPASI WALIKUWA OVER 75% NA WAZIRI ALIKUWA NI KAWAMBWA, SERIKALI SINCE MWAKA JANA IMEONGEZA WAALIMU 28,000 WASICHANA WALIFAULU SANA LAST YEAR NOT THIS YEAR, INAONEKANA KUNA NJAMA ZINAZOFANYWA NA MKONO FLANI KUMUONDOA WAZIRI KWA SABABU; SABABU ZOTE ZINAZOTOLEWA HAZINA MASHIKO KABISA NA NINGEELEWA KAMA MAJIMBO YENYE WABUNGE WA CHADEMA NA NCCR YANGEPASISHA WANAFUNZI WENGI KULIKO YA CCM NINGEAMINI WABUNGE WA UPINZANI WANA DAWA, MBATIA ANATUMIWA TU NA HUO MKONO UNAOTAKA KUMUONDOA WAZIRI KAWAMBWA NI ZILE ZILE SIASA ZA MAJITAKA ABSOLUTELY NONSENSE!! MUNGU AIBARIKI TANZANIA! - LE MUTUZ

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top