Gari
ambalo moto huo ulianzia wakati likijaza mafuta katika kituo cha gapco kilichopo
katikati ya mji wa morogoro.Moto huo ulizuka kutokana na tabia iliyozuka kwa
waendesha daladala mkoa wa morogorokupenda kujaza mafuta kwa kutumia vidumu
jambo ambalo ni hatari..
Moto
huoukishika kasi katika kituo hiko kabla ya kuyhibitiwa na wakati wa morogoro
waliokuwa karibu na kituo hiko kilicho katikati ya mji wa
morogoro
Wakazi
wa morogo wakihangaika kuzima moto uliozuka katika kituo hiko uliozuka gafla
jioni ya leo mjini wa morogoro leo
Kijana
aliyefanikiwa kuuzima moto huo kwa ujasiri akiwa amebebwa juu juu baada ya
kufanikiwa kuuzima moto huo ambao ulizuka katika kituo cha gapco mjini morogoro
leo
Wakazi
hao wakifurahi kwa kushangilia mara baada ya kudhibiti moto huo
leo
Mashuhuda
wa tukio hilo wakiangalia mara baada ya moto huo kuthibitiwa na wakazi waliokuwa
karibu na eneo la tukio
Post a Comment