Mv.
Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari
yake.
Nao
wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na
wengine kuahirisha kabisa safari.
Ndani ya
meli abiria wakitathimini mazingira.
Saa 3 na
dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani
Kagera.
Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake. |
Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari. |
Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira. |
Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani Kagera. |
Post a Comment