Picha/habari na Nicoulaus Trac, Arusha
Mashabiki wa Simba
walivamia basi la wachezaji wa timu hiyo na kuanza kuimba kuwa wanamtaka Emanuel
Okwi.
Aidha, mashabiki hao
walipokuwa wakihojiwa na moja ya redio ya jijini Arusha, walisema Simba ni mali
ya Rage na familia yake na sio ya wana Simba.
Mashabiki wa Simba
wamekerwa na sare ya 1-1 dhdi ya Ojoro katika mchezo ulichezwa kwenye uwanja wa
Sheikh Amri Abeid ikiwa ni sare yao ya pili tangu mzunguko wa pili wa Ligi kuu
uanze.

Post a Comment