Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MDAU FACEBOOK AIHUSISHA CHADEMA NA VIFO VYA KIDINI!!

 


KIFO CHA PADRI EVARIST MUSHI WA ZANZIBAR MWENYEKITI WA CHADEMA BWANA MBOWE ACHUNGUZWE

KWANZA NA SIKITIKA SANA KWA KIFFO HICHO NA naunga mkono juhud za serikali kuwapaata wahusika,ni kazi yetu sote kuisaidia jeshi a polis nami naisaidia kwa taarifa 2 nilizozipata toka zanzibar na kwa kijana wa chadema DSM

KUWA BWANA MBOWE ktk moja ya vikao Vya chadema alikiri udini na ukabila uinakiandama chama chao na hoja hiyo wameletewa na CCM ILI KUKIMAIZA CHADEMA

KTK KIKAO HICHO IKAAMULIWA KUFANYIKA MBINU NA MKAKATI MAALUM wakurudisha hoja ya udini na ukabia kwa CCM

ZIPO TAARIFA ZISIZO NA SHAKA kuwa cdm ii tumia nyumba za ibada na dini kufanikisha KAMPEENI ZAKE na ata dada asemeki wa morogoro anakiri kuwa waLipotoka IBADANI wiki ya mwisho ya uchaguzi alishangaa sana kiongozi wao kutoa msimamo wakidini kuiunga mkono CDM KWA KUWA MGOBEA WAO NI MTUISHI WA BWANA na alioteshwa kuwa Padri Slaa ataijenga nyumba ya bwana vyema

yupo pia muandishi wa habar aliezunguka ktk kampeni na slaa anakiri pia hilo

nakumbuka wakati ule rais kikwete aitoa masikitiko yake wakati ule
kutokana na MATUKIO HAYO

MBINU ZIPI MBOWE UNAFANYA ILI KUAMANISHA WATZ KUWA HOJA YA UDINI NI YA CCM?
UPO NYUMA YA HOJA YA UCHINJAJI GEITA? AU

KUCHOMA MAKANISA MBAGHALA AU

KUMWAGIA TINDIKAI SHEH WA ZANZIBAR AU KUMPIGA RISASI PADRE EARIST MUSHI WA ZANZIBAR?
MBOWE MNAFANYA MBINU GANI?kwa kutumia Vjana wako?

Kama kuna taarifa zinazlo kuhusisha wewe MBOWE NA SLAA na kijana wenu mmoja kuwa kulikuwa na mpango wa kumuua ZITTO NA MPAKA LEO hamjasema lolote kuhusu hilo

LEO MBOWE UNAKIRI KWENYE VYOMBO HABAR KUWA kwei unao mkakati huo wa kujenga hoja ya udini kwa CCM

MBOWE UNASEMA
" SERA ya udini ni ya ccm na sasa inavuna ilichopanda na lazima wamerikoroga na sasa tunataka wainywe"

KIONGOZI MZIMA, PADRE ANAPIGWA RISAS UNALEA UCHOCHEZI, HIVI RAIS KIKWETE LEO ANGESEma wazi udini ni wa CDM SI UNGELIA WEWE

MBOWE NENDA KAPIMWE KAPIMWE AKILI NA JESHI LA POIS LIKUCHUNGUZE KWANI KUNATAARIFA KUWA UNAHUSIKA KTK MATUKIO YA UDINI

NAPOLIS WAFANYIE KAZI TAARIFA NILIZO WAPELEKEA
NA PIA ILE vidio ya mbinu zao za mauaji ya MH. MWIGULU.
Source: Facebook.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top