Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya
kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Edward Hosea akielezea namna ya
kupambana na Rushwa wakati wa semina iliowakutanisha wanafunzi wa shule za
sekondri na za msingi wanaotoka klabu za wapinga rushwa lengo la semina hiyo
ilikuwa kuwajenga wanafunzi kimaadili kuwafanya watambue madhara ya
rushwa,semina imefanyika Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es salaam
jana,
Mwanafunzi shule ya Benjamin
william Mkapa. Alley Gamba akichangia mada kwenye semina
Baadhi ya wanafunzi washiriki
katika semina hiyo wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa kuhusu njia
za kupambana na Rushwa.


Post a Comment