Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ukiukwaji wa kanuni za bunge uliofanywa na baadhi ya wabunge wakati wa mkutano wa 10 wa bunge uliomalizika mjini Dodoma na mabadiliko yaliyofanyika kwa baadhi ya kamati kuondolewa pamoja na uundwaji wa kamati mpya 3 zitakazoshughulikia Ushirikiano wa Afrika, Mashariki, Bajeti na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila akitoa somo kwa waandishi wa habari
kuhusu umuhimu wa wabunge kuzisoma na kuzitumia ipasavyo kanuni za bunge ili
kuondoa manug’uniko yanayojitokeza pindi wanapozuiliwa na spika kuchangia
mijadala au kutoa hoja bungeni kwa sababu ya kukiuka kanuni na umuhimu wa
waandishi wa habari kuzitumia taarifa rasmi za
bunge
Post a Comment