Na Fullshangwe-MERU
…………………………………………………………..
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Meru,mkoani Arusha,
wameshauriwa kutokukubali kudanganywa na Vyama vya kisiasa ambavyo
vinaeneza Propaganda chafu kuwa hakuna kilichofanyika tangia
Uhuru,badala yake wachukie siasa zinazosababisha uvunjifu wa amani

Hayo yameelezwa na mjumbe wa kamati ya Siasa ya mkoa ya Chama cha
Mapinduzi, John Palanjo, Februari 5 katika kilele cha maadhimisho ya
miaka 36 ya CCM,yaliyofanyika katika eneo Uwiro kata ya Ngarenanyuki
Wilayani Meru Mkoani Arusha

Palanjo, aliwaambia wananchi kuwa umefika wakati kupuuza propaganda
zinazoenezwa na Vyama vya kisiasa na badala yake waimarishe mshikamano
miongoni mwao kwa kuwa Chama cha Mapinduzi kina Ilani na ndoto ya
kuboresha maisha ya watanzania.

Amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali za Chama kuhakikisha
wanatembelea wananchi na wanachama ili kusikiliza kero na kuzipatia
ufumbuzi sanjari na kufanya mikutano kila baada ya miezi mitatu kwa
mjibu wa katiba ya Chama ili kuhamasisha na kuimarisha uhai wa Chama.

Awali alisema kuwa viongozi nao wanatakiwa kujua na kutambua kuwa wao
mtaji wa Chama cha Siasa ni watu, hivyo wafanye vikao na kuhamasisha
watu wengi zaidi kujiunga na Chama cha Mapinduzi, na kuongeza idadi ya
wanachama ambao watakiwezesha Chama kushinda katika chaguzi mbalimbali
zikiwemo za serikali za mitaa zitakazofanyika mwakani na uchaguzi mkuu
mwaka 2015

Akitoa ufafanuzi wa kero ziliziopo kwenye Kata hiyo, Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Meru, diwani Godson Majola, aliwahakikishia wananchi
kuwa halmashauri ya wilaya ya Meru itaanza kuzitatua kero hizo ndani
ya muda mfupi

Amewataka wananchi kuwa na subira pale ambapo baadhi ya kero
hazitatatuliwa kwa muda mfupi kwa sababu kila jambo lina utaratibu
wake na kuwataka wananchi wasipotoshwe wala wasiyumbe kwa propaganda
za Vyama vya kisiasa hivyo wanainchi waimanini halmashauri yao kero
zitapatiwa ufumbuzi

Post a Comment