Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba
wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao,
Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa
bendera. Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa
Tawi hilo. Francis anaungana na
Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).
Loading...


Post a Comment