Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akichangia hoja
katika Bunge- Dodoma.
Mussa Zungu Azzan (ILALA) na Mbunge wa
Mafia Abdulkarim Shah (kulia)
wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa
Bunge Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia), Mwingulu
Nchemba (katikati) , na Vick Kamata (Viti Maalumu ) kushoto, wakiwa katika picha
ya pamoja Bungeni – Dodoma.
Mbunge wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia na
kuunga mkono hoja ya Mbunge wa Nzega Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali
ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo
ya Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja kwa moja
na kilimo. PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO
JUMAA- MAELEZO.


Post a Comment