Mkurugenzi wa
Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori
akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa
Mkoa wa DaresSalam. Kulia ni Meneja Utawala wa Kampuni ya Sccuct, Nicholaus
Wambura ambao ndio waratibu wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Kinondoni,
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina
hiyo.
Ofisa Mwandamizi wa Kitengo cha Sekyta isiyo rasmi
NSSF, Sami Khalfan.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika
semina.
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
wa,kiwa katika semina hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Saccos Mkoa wa Dar es Salaam
wakiwa katika semina hiyo.


Post a Comment