Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Shirika la Ndege la Precision Air, Saud Said Rajab akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo, baada ya kutangazwa rasmi bodi ya wakurugenzi
ya shirika hilo kushika nafasi ya Alfonce Kioko (kulia) ambaye amemaliza mkataba
wake. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Michael Shirima.
Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Shirima (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Shirika la Ndege la Precision Air, Saud Said Rajab na Mkurugenzi Mtendaji
aliyemaliza muda wake, Alfonce Kioko.
Karibu katika majukumu
yako mapya.

Post a Comment