Ndg. Selemani Mbuma aliepata ajali mbaya ya Umeme hivi
karibuni bado yuhai akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa Iringa word
namba 9 Ndugu huyu anahitaji msaada zaidi wamtibabu kulingana na hali alionayo
baadaya ajali.Picha na Said ng'amilo
Loading...


Post a Comment