Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph
Warioba (kulia) na Mjumbe wa Tume Bw. Simai Mohamed (katikati) wakiongea na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi
za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana
na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba
Mpya.
Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa
Rashid (kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya
Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu,
Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu
kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof.
Palamagamba Kabudi (kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba
ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo
(Jumatatu, Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao
uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph
Warioba (kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya
Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu,
Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu
kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof.
Palamagamba Kabudi (kushoto) na Bw. Abubakar Ali (katikati) wakiongea na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi
za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana
na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba
Mpya.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya
Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu
Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Casmir Kyuki (kushoto) na Mjumbe wa
Sekretarieti ya Tume Bw. Joseph Ndunguru katika ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam leo (Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao
uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.Picha Zote na Tume ya Katiba
(CRC).
Post a Comment