|
Wajumbe
wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa wakiwa wanamsikiliza kwa makini Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana
na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza
Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo
tarehe 17 february 2013 |
|
Semina
kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa juu ya
wajibu na majukumu ya wajumbe hao na mipaka yao ya uongozi pamoja na kutathmini
njia ya kuimarisha jumuiya ya Vijana na mikakati ya kuwasaidia Vijana
Nchini. |
on Sunday, February 17, 2013
Post a Comment