Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Spika Anne Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali Leo



Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni leo
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa Bunge Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo ya kodi
Spika wa Bunge Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo ataiwasilisha serikalini.
Picha na Owen Mwandumbya-Bunge
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top