Waziri Mkuu,Mh. Mizengo
Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari za michezo wa Televisheni
ya Super Sport,Bi. Carol Tshabalala katika mjadala kuhusu Tanzania inavyo
jitahidi kupamabana na ugonjwa wa Malaria,mjadala huo ulifanyika kwenye kituo
cha mikutano cha Sandton kilichopo jijini Johannesburg Afrika
kusini.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF),Leodiger Tenga wakati wa mjadala wa kuhusu kupambana na malararia.kulia ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo
Pinda (wa pili kulia) akisaini mpira ikiwa ni ishara ya kupambana na Malaria
kwakupitia michezo.wengine pichani kutoka kushoto ni Mama Tunu Pinda,Meneja wa
mpango wa kudhibiti malaria nchini,Dkt. Ally Mohamed,Naibu Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii,Mh. Dkt. Seif Rashid,Mwana muziki marafu nchini Afrika kusini na
Balozi wa kupambana na ugonjwa wa malari,Bibi Yvonne Chakachaka na mwisho ni Mh.
Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).
Mama Tunu Pinda akisaini
juu ya mpira ikiwa ni ishara ya kutumia michezo kupambana na malaria huku Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisaidia kumshikia.katikati ni Balozi wa kupamabana na
malaria na mwana muziki marufu nchini Afrika kusini,Bibi Yvonne
Chakachaka.
Post a Comment