Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK EMMANUEL NCHIMBI AZINDUA HUDUMA ZA DUTY FREE SHOPS KATIKA JESHI LA MAGEREZA.

 

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja (kulia) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) kabla ya uzinduzi wa Supermarket ya kwanza katika Jeshi la Magereza nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Supermarket ya kwanza ya Jeshi la Magereza nchini.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Military Shop, Afzal Meghji akimuonyesha bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya duka hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na maafisa magereza (hawapo pichani) kabla ya kufungua Supermarket kubwa ya kisasa ambayo itawawezesha maafisa hao, askari na familia zao kupata huduma ya kununua bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, anayefuata ni Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja na kulia ni Mwekezaji Mkuu wa Kampuni ya Military Shops ambaye ndiye aliyewekeza katika Supermarket hiyo, Sadrunin Virji.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmauel Nchimbi akipokea zawadi kutoka kwa mke wa Mwekezaji Mkuu wa Supermakert hiyo, Gulshan Virji (kulia).
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja akipokea zawadi kutoka kwa mke wa Mwekezaji Mkuu wa Supermakert hiyo, Gulshan Virji (kulia).
Baadhi ya maafisa na askari Magereza wakinunua bidhaa mbalimbali katika Supermakert hiyo baada ya kuzinduliwa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa tatu kutoka kushoto waliokaa), Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (wa kwanza aliyekaa kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa mbalimbali wa magereza pamoja na wageni waalikwa.
PICHA ZOTE NA
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top