Miss Utalii Tanzania
2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na
vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam,Morogoro,Mtwara,Lindi na Pwani.
Vivutio hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani,
Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha
makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa
kigamboni, soko la kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa, J.K.Nyerere Air Port,
Soko la kariakoo, mashule ya sekondari na msingi, pia watatembelea manispaa za
ilala, temeke na kinondoni ambapo watakutana na viongozi wakuu wa wilaya, mikoa,
na wabunge katika majimbo ya mikoa hiyo.
Picha na Habari na
Erasto Gideon Chipungahelo
President Miss Tourism Tanzania International
The Symbol Of National Heritage
President Miss Tourism Tanzania International
The Symbol Of National Heritage
Post a Comment