Makamu Mwenyekiti wa
Umoja wa Watanzania waishio Uholanzi (TANE), Bw. Musuto wa Chirangi
(aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Balozi Kamala.
Mwenyekiti wa TANE, Bw. Kweba Bulemo (aliyesimama Kulia), akisema machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Balozi.
Balozi wa Tanzania katika eneo la BENELUX, Dk Diodorus Kamala akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi. Ambapo pamoja na mambo mengine aliwasihi kuwekeza nchini.
Balozi Dk. Kamala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.Picha na Habari na Saidi Ahmed Mkabakul
Post a Comment