Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Balozi Seif akutana ujumbe wa Jumuiya ya Walimu wa kiislamu Tanzania (Tamta)




Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Walimu wa Kiislamu Tanzania { Tamta } Sheikh Mohammed Abdull Dhikri akitoa maelezo ya maandalizi ya Sherehe za Jumuiya yao kuadhimisha miaka 51 tokea kuanzishwa kwake mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Kati kati yao ni Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo ya Tamta Maalim Sheikh Mudhhir

Sherehe hizo zinatarajiwa kuanza Tarehe 27 hadi 30 Juni mwaka huu hapo Makao makuu ya Jumuiya hiyo yaliyopo Mkoani Tanga.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi sita wa Jumuiya ya Walimu wa Kiislamu Tanzania { Tamta } hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.


Viongozi wa Jumuiya ya Walimu ya Kiislamu Tanzania { Tamta } pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakisoma Dua ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi ya Balozi Seif iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top