Kenya Elections 2013 Presidential provisional results
Uhuru Kenyatta (TNA)
1,833687 (50.11%)
Raila
Odinga (ODM) 1,393,00
(41.00%)
Hayo ni matokeo ya awali yaliyoifikia meza ya dawati ya NDGSHILATU BLOG kutoka Kenya yanayoonyesha Uhuru Kenyatta akiendelea kuongoza. Lakini hadi sasa zile sehemu ambazo ni ngome ya Raila Odinga, matokeo yake bado hayajatangazwa.
Ukiangalia matokeo haya utaona tofauti ni ndogo sana na endapo matokeo ya ngome ya Raila Odinga ama ngome ya ODM yakitangazwa, lolote lile linaweza likatokea.
Endelea kuwa na NDGSHILATU BLOG kwa matokeo zaidi ya uchaguzi mkuu wa kenya.
on Tuesday, March 5, 2013
Post a Comment