Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini Mama mzazi wa marehemu akiweka shada ya mau kwenye kabauri la mtoto wake Mjane wa marehemu akiweka shada la mau kwenye msalaba wa kaburi la munmewe Watoto wa marehemu Afrey na Helena wakiweka shada la mau kwenye kaburi l;a baba yao Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Faustene Shilogile akiweka shada la maua kwa niaba ya jeshi la polisi Taznania Mjane wa marehemu akisindikizwa kuweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe Mjane wa marehemu na wanae kwa pamoja wakiweka mishumaa kwenye kaburi la baba yao Mjane wa marehemu akiangua kilio baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wake wanaoshuhudia kwa hudhuni ni watoto wa marehemu Afrey[kulia] na Helena aliyeshika tama[kushoto] Mtoto wa kike wa marehemu Helena akisaidiwa na baba yake mdogo Frank mwenye T-shert nyekundu kuweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake Maafande hao wakipiga risasi juu baada ya shughuli zote za mazishi kukamilika,kabla ya kufanya hivyo afisa mmoja wa polisi alitoa tahazali kwa wananchi wenye mioyo midogo kukaa mbali na eneo hilo"| tunafyatua risasi mara tatau hivyo mwenye moyo mdogo tunaomba akae mbali na eneo hilo"alisema afisa huyo wa polisi mwenye cheo cha nyota 2 Ndugu wa marehemu na baadhi ya waombolezaji wakishuhudia maafande hao walipiga risasa hewani Maafande hao wakiokota risasi zilizodondoka wakazi wa zoezi hilo
Loading...
POLISI ALIYEFARIKI GHAFLA DAR,AZIKWA JANA MOROGORO

Post a Comment