Pichani ni Ndugu
Absalom Kibanda akiwa amelazwa kwenye moja ya chumba cha matibabu,hospita ya
Taifa Muhimbili.Get Well soon Absalom Kibanda.Picha kwa hisani ya Mtandao wa
Mabadiliko.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri,na Mhariri Mkuu
wa Mtendaji wa New Habari Coperations Ltd, Ndugu Absalom Kibanda, amevamiwa
usiku wa kuamikia leo akiwa anashuka nyumbani kwake Mbezi Beach na
watu wasiofahamika na kumpiga kichwani. Amepata majeraha Makubwa kichwani na
hasa jichoni,aidha taarifa inaeleza kuwa baada tukio hilo Kibanda alikimbizwa
hospitali ya Taifa Muhimbili kwa
Matibabu.
Wadau hii ni taarifa ya
kushtua sana,lakini tutazidi kutaarifiana kadiri ya habari zitakavyokuwa
zinapatikana,kikubwa tumwombee Mungu amponye haraka source jiachie
blog
Post a Comment