Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mama
Maria Nyerere, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Butiama Machi 4,
2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mama
Maria Nyerere, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Butiama Machi 4, 2013.
Kushoto ni Mke wa Makamu, Mama Asha
Bilal.
Post a Comment