Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM YAZIDI KUJIIMARISHA ILALA

 
Mjumbe wa kamati kuu na meya wa manispaa wa ilala amefanya amealikwa kwenye mkutano wa hadhara tawi la tabata , kata ya tabata , wilaya ya ilala. Amefungua mashina matano, kikoba kimoja. Amechangia laki tano kikoba cha sunburst na waheshimiwa madiwani wamemuunga mkono laki moja na mwenyekiti wa mtaa wa tabata Bw.Chambuso laki moja. Amechangia shina la vijana la nguvu kazi wapiga tofali laki moja , waheshimiwa madiwani laki moja na mkiti wa mtaa alf 50. Vilevile amechangia jezi seti mbili na mipira miwili na kupokea wnachama 250MKUTANO WA HADHARA - TABATA (



 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top