TAARIFA MUHIMU: Kuna muwaji ameibuka jijini Dar
kwa sasa, jana ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua
Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni,
katikati ya Mkwajuni na Magomeni. Tukio kama hilo lilitokea Juzi
kwenye Barabara ya Bagamoyo, Muuwaji huyo ni mwembamba na huendesha
Pikipiki. Ni vyema mkawa makini mnapokuwa mnaendesha Magari, maana
chanzo chake kikuu huwa ni kusababisha Ajali na punde unapoanzisha mabishano nae
huamua kutoa Bastola na kumpiga risasi Dereva. Tafadhali, tusaidiane kusambaza
ujumbe huu kwa wote tunaowajali na
kuwapenda......
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
Athari za ugonjwa wa tezi dume2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment