Licha ya wakazi wa
mabondeni kutahadharishwa waondoke na serikali kuhama lakini baadhiya wakazi
walikaidi amri hiyo amri hiyo kupingwa leo imeonyesha amri hiyo ya serikali ya
kutaka wakazi hao wahame imedhihirisha kwa mafuriko mafuriko hayo kuvumia kama
kawa picha inawaonyesha wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam wakiwa nje ya
Nyumba zao baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua iliyonyesha
leo
Nyumba zikiwa
zimezingirwa na maji eneo la Kinondoni Dar es Salaam kufuatia Mvua iliyonyesha
leo jijini
Wasamaria wema wakisukuma gari la polisi lenye namba
PT 0314 baada ya kuzimika barabarani kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika
maeneo ya katikati ya jijini Dar es Salaam
Wakazi
wa Tabata Kisiwani wakivuka mkondo wa maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha
katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam leo na kusababisha
mafuriko.
Mtaa wa Azikiwe ukiwa
umefurika maji ya
mvua.
Wakazi wa Kimara Kilungure
wakiwa wametaharuki baada ya kukosa jinsi ya kuvuka daraja ambalo limefunikwa na
maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha leo Katika Jiji la Dar na
kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara hiyo huko Kimara
Kilungure
Daraja lililopo Kimara
kilungure likiwa limefunikwa na maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha
Jijini Dar mapema leo na kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara hiyo na
daraja huku wakazi maeneo hayo wakiwa wamesimama kwa kushindwa kuvuka kwa
kuogopa kupoteza mali pamoja na maisha yao kutokana na maji kufunika
daraja.Picha na Abdul Lukanza wa Lukaza Blog
Post a Comment