Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

IRELAND WAJENGA MAKTABA SEKONDARI YA MOITE BWAWANI WILAYA YA MONDULI NA KUIZUNDUA MBELE YA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA

 


Balozi wa Jamuhuri ya Ireland hapa Nchini Fionnuala Gilsenan(kushoto) na Mbunge wa Monduli ambaye pia Ni Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa katika ufunguzi wa maktaba ya shule ya Sekondari Moite Bwawani wilaya Monduli iliyogharimu zaidi ya shillingi millioni 81. Maktaba hiyo imejengwa kwa ufadhili wa marafiki wa Afrika kutaka Irelanda wakishirikiana na jumuiya ya wamisionari kutoka Ireland wanaosaidia Afrika (SMA)
Balozi wa Ireland hapo Nchini Fionnuala Gilsenan akizindua maktaba ya shule ya sekondari Moite Bwawani,wilaya Monduli,huku akishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo,Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa .Maktaba hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni 81,ujenzi wake umefadhiliwa na marafiki wa afrika kutoka Ireland kwa ushirikiano na jumuiya ya wamisionari wa Ireland wanaosaidia afrika(SMA)

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top