Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHADEMA YAUFYATA MBELE YA SERIKALI

 


Leo hii, yamekuwepo makubaliano baina ya CHADEMA na Jeshi la Polisi nchini la kuahirishwa kwa maandamano yaliyokuwa yameratibiwa na CHADEMA katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania ili kushinikiza kujiuzulu kwa Waziri wa Elimu, Dk Shukuru Kawambwa na Naibu wake Philipo Mulugo wakitakiwa kuwapisha wengine washike nyadhifa hizo.

Shinikizo hilo linatokana na audifacejackson.blogspot.com mabaya ya mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne kwa mwaka 2012, CHADEMA ikidai kuwa matokeo hayo yanaakisi viongozi hao kuishiwa mbinu za kuiboresha sekta ya Elimu iliyozorota nchini.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top