Marehemu WP2492 Koplo
Elikiza Nnko (46) enzi za uhai wake.
Marehemu
Elikiza alizikwa katika makaburi ya Mbweni jijini Dar es Salaam Alhamisi wiki
iliyopita ambapo mazishi yake yalihudhuriwa na mamia ya wakazi wa Dar
wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Said
Mwema.(Picha GPL)
Watoto wa marehemu
wakiuaga mwili wa mama yao.
Wafanyakazi wenzake na
marehemu wakiwa wamebeba picha na msalaba wakati mwili ukipelekwa kwenye
gari.
Mwili wa marehemu
ukipelekwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea
makaburini.
Askari wakijiandaa
kutoa heshima za kijeshi kwa mwili wa marehemu Elikiza.
Mwili wa marehemu
ukiingizwa kaburini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini, Said Mwema, akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Elikiza
Nnko.
Watoto wa marehemu
wakiweka udongo katika kaburi la mama yao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini, Said Mwema, akiweka shada la maua
kaburini.

Post a Comment