Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DEREVA WA DALADALA ATWANGWA RISASI



.
millardayo.com inatoa shukrani kwa Gavin Gosbert kwa hii picha na taarifa, nawe pia unaweza kutuma picha ya tukio na taarifa kupitia mtuw...@gmail.com
 
Tukio lilitokea Ijumaa usiku kwenye saa tatu kasoro Sinza Kumekucha Dar es salaam karibu na kanisa la KKKT ambapo ilikua ghafla mlio wa risasi ukasikika ikiwa imelengwa kwa dereva wa daladala.
Watu waliokuwepo karibu wamesema dereva wa hii daladala anadaiwa kumkosea na kumkasirisha mtu wa pikipiki alipokua kwenye foleni.
Ghafla mtu huyo wa pikipiki ambae hakufahamika akiwa amebeba abiria inadaiwa alipita kwa mbele akachomoa bastola na kupiga risasi na kuondoka.
Inadaiwa dereva wa daladala aliepigwa risasi kichwani, alifariki muda mfupi baada ya tukio hilo huku watu wakishuhudia abiria mbalimbali wakitokea madirishani na wengine wakitoa vitu vyao kupitia madirishani.

Credits: Millard Ayo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top