
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi
wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini
Magharibi
akiwa katika ziara ya Mkoa
huo iliyoanza jana.[Picha na Ramadhan
Othman

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu
wa
Shirika la
Umeme Hassan Ali Mbarouk,(wa pili kushoto)
wakati
alipotembelea
kituo kipya cha Umeme huko Welezo alipokuwa katika
ziara
ya Mkoa wa
Mjini Magharibi iliyoanza jana.[Picha na
Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Post a Comment