Dkt. Kashilila akiwapongeza watumishi wenzake kwa kumfanyia surprise ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
Wakati ulifika wa Dk. Kashililah kuhesabiwa na kuzima mishumaaa.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Kitolina Kippa, akimkabidhi kadi ya pongezi iliyoandaliwa na watumishi wa Ofisi ya Bunge kwa kutimiza miaka 51.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Kitolina Kippa akimlisha keki Dkt. Thomas Kashililah kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa.
Dkt. Kashililah akiwalisha keki watumishi wa Ofisi ya Bunge.
Credits: Sufiani Mafoto
Post a Comment