Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu
wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt Ikulu Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza Waziri Mkuu
wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo
kupanda mti wa kumbukumbu.

Rais Jakaya kikwete pamoja na Waziri Mkuu wa Denmark
Mhe Helle Thorning-Shmidt wakielekea kupanda mti wa kumbukumbu viwanja vya
ikulu leo

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt
akipanda mti wa kumbukumbu huku mwenyeji wake akishuhudia leo
Ikulu

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt
akinyeshea mti wa kumbukumbu huku mwenyeji wake akishuhudia leo
Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha
na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimueleza Waziri Mkuu wa
Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt aina ya mti ataoupanda leo Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza Waziri Mkuu wa
Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo
kupanda mti wa kumbukumbu.

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt
akisalimiana na maafisa waandamizi wa Ikulu katika viunga vya Ikulu kabla ya
mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu
wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt baadhi ya mawaziri pichani akimsalimia
waziri wa mambo ya nje na ushiirikiano wa kimataifa Bernard Membe

Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt
akisalimiana na Waziri
wa kazi na Ushirika wa Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman

Mamia ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa
Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es
salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri
Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku
wakishangiliwa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu
wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt Ikulu Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha
na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa
Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt na ujumbe wake wakati wa mazungumzo
rasmi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu
Ikulu Mhe. Sanga na maofisa wengine waandamizi wakati akimsibiri mgeni
wake

Msafara
wa Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt ukikaribia lango la
Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.Picha zoe na IKULU
Post a Comment