Loading...
Askari
wa Jeshi la polisi kutoka vikosi mbalimbali wakiwa wanapanga mikakati kabla ya
kuingia katika mashamba yaliyowazunguka kuharibu madawa ya kulevya aina bangi na
kisha kuiteketeza kwa moto katika operesheni iliyofanyika wilayani Arumeru.
(Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)

Post a Comment