watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa
wananchi
SIKU chache baada ya
kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na wahusika
kutiwa mbaroni na polisi, mwishoni mwa wiki waandishi wetu wamekifumua kijiji
cha ufuska.
Kijiji hicho
kilichogunduliwa Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana na wavulana walinaswa
wakifanya vitendo vya ngono kwenye moja ya mabanda ambayo yametengenezwa maalumu
kwa shughuli hiyo.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Awali, waandishi wetu walipata taarifa kutoka kwa wasamaria za kuwepo kijiji hicho pembezoni mwa barabara ya kwenda Kiburugwa, hivyo kuamua kufuatilia.
Operesheni hiyo
ilifanywa na waandishi wetu kwa kushirikiana na jeshi la polisi Jumamosi
iliyopita usiku ambapo ilifanikiwa kuwanasa baadhi ya vijana akiwemo mwanamke
mmoja aliyekutwa akifanya ngono na wanaume wawili (walio pichani).
Hata hivyo, kundi la
watu kama wanane wakiwa na nguo mikononi walitimua mbio baada ya kuona polisi
wamevamia chumba kimoja kilichotengenezwa kwa uzio wa vipande vya magunia
chakavu na makaratasi walichokuwa wakikitumia kufanyia ngono.
Aidha, wana usalama walifanikiwa kuwakamata watu watatu,
wanaume wawili pamoja na mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Semeni
waliyekuwa wakifanya naye mapenzi.
Baada ya kuwatia
mbaroni watu hao na kuwafanyia upekuzi, walikutwa na kondomo na vipisi vya
bangi.
Gesti bubu inayotumika
Maafande walipomhoji
Semeni alisema vijana hao walimlipa shilingi 5,000 kila mmoja na mmiliki wa eneo
hilo aliyemtaja kwa jina moja la Babu walimlipa shilingi 2,000.
Mtu mmoja aliyeshuhudia
tukio hilo, aliwapongeza polisi kwa kufanikiwa kuwakamata baadhi ya vijana
hao.
na kuingizwa kwenye vibanda hivi kwa ajili
ya kufanya ufuska, tunashukuru kwa kuamua kukisambatisha,” alisema jamaa
huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Asubui mpa saa 11 ni hoteli
The choice.com
Post a Comment