Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MARAFIKI WA IMANI WALIVYO ONESHANA ZA 'KIOO' NA NMB KATIKA SOKA


Kikosi cha timu ya Mafarafiki Imani, ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa mchezo huo, uliomalizika kwa timu ya NMB kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya timu ya Marafiki wa Imani Kajula, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo wa kirafiki ulikuwa ni maalum ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Imani, ambapo katika mchezo huo Kipa wa timu ya Marafiki wa Imani, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini, Frederick Mwakalebela, alionekana kuwa nyota wa mchezo huo, kutokana na vitu adimu alivyokuwa akionyesha uwanjani hapo.
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Marafiki wa Imani, Imani Kajula (katikati) akimiliki mpira wakati akijaribu kumtoka beki wa NMb, Erick Ruyangi, wakati wa mchezo huo.
Nahodha wa timu ya Marafiki wa Imani, Shaffy Dauda (wa tatu kulia) akizungumza wakati wa muda wa mapumziko, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Makipa wa timu hizo zilizomenyana kwenye uwanja wa Karume, Frederick Mwakalebela, akipozi kwa picha na kipa wa NMB, Richard Mwalibwa, baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
 
Imechotwa: Mafoto web
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top