Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuteswa na kuwambwa msalabani kwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita kwenye ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika usharika huo Dar es Salaam jana,Hapa Yuda Eskalioti (kushoto), akipokea fedha baada ya kumsaliti Yesu Kristo PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

Yuda Eskalioti akiwa na maaskari wa kiyahudi. b 

Wanafunzi wa Yesu wakiwa na yesu katika moja ya mikutano yao.

Akina mama wakiubeba mwili wa yesu.









Post a Comment