Huyu ndio binti mwenyewe wa miaka 16 alietekwa, alipata ujauzito wa miezi miwili lakini vijana hao wakautoa kwa kutumia majani ya chai
Akionyesha sehemu aliyokua analazwa.
Huyu binti alipotea toka novemba 2012 na alishatafutwa kila sehemu ikiwa ni pamoja na waganga kutumika, wazazi walishaomba sana kanisani na kukata tamaa wakijua binti yao ameshakufa mpaka wakaweka msiba kabisa.
Picha na taarifa vimetoka kwa dinamarios.blogspot.com na unaweza kuisikiliza hiyo taarifa yenyewe hapa chini kwenye Hekaheka ya february 28 2013.
Credits: Millard Ayo
on Friday, March 1, 2013
Post a Comment