Shamrashamra za
Kilimanjaro Marathon 2013 zinaanza rasmi jioni hii ndani ya Voda Club mjini
Moshi. Jumuika na wapenzi wengine wa riadha waliomiminika kwa wingi jijini Moshi
kuburudika na kufahamiana huku kukiwa na burudani ya nguvu itakayoporomoshwa na
Mwamba wa Kaskazini Joh Makini bila kusahau sebene la nguvu toka kwa Twanga
Pepeta kisima cha burudani.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Rinazon Ministry Ukombozi kwa Wanandoa16 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment