Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMATI ZA BUNGE ZAENDELEA NA KAZI DAR ES SALAAM LEO

IMG_0718Msaidizi wa CAG Ndg. Fransis Mwakapalila wa tatu kutoka kushoto akisoma ripoti za ukaguzi zilizofanywa na Ofisi ya CAG mbele ya kamati ya LAAC wakati wa vikao vya kamati leo Dar es salaam, Kamati ya Bunge ya LAAC ilikutana na wataam kutoka Ofisi mbalimbali na CAG kuangalia baadhi ya utekelezaji wa majukumu yake

IMG_0723Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdalah Kigoda akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara katika kikao kilichofanyika Ofisi ya Bunge leo. Kamati hiyo ilikutana na watendaji wa wizara hiyo kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu yake. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mahamoud Hassan Mgimwa (Mb) na aliyekushoto ni Ndg. Michael Kadebe, katibu wa Kamati hiyo. IMG_0738Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Mussa Hassan Zungu na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania mara baada ya kukutana nao leo. kamati hiyo ilikutana na wabunge hao kupata taarifa kutoka Bunge la Afrika Mashariki.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top