Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisikiliza maelezo kutoka kwa Eng. Sabyasachi Kar, wakati 
alipotembelea kujionea mashine za kusaga mawe, zilizopo Kijiji cha 
Sabasaba Irimba, wakati akiwa katika ziara yake ya siku mbili mkoani 
Mara, iliyo sambamba na Uwekaji jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya 
Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi 
Musoma, leo. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiongozana na Mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono, baada ya 
kusikiliza maelezo kutoka kwa Eng. Sabyasachi Kar, kuhusu mashine za 
kusaga mawe wakati alipotembelea kuona mashine hizo, zilizopo Kijiji cha
 Sabasaba Irimba, wakati akiwa katika ziara yake ya siku mbili mkoani 
Mara, iliyo sambamba na Uwekaji jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya 
Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi 
Musoma,leo.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Dr. John 
Ndunguru, wakati alipowasili kuweka jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara
 ya Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara 
hadi Musoma, leo.

  Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 mkewe Mama Asha Bilal na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, 
wakifurahia burudani ya ngoma ya asili, wakati walipowasili eneo la 
kuweka Jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya Nyaguge-Musoma, sehemu ya
 kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi Musoma, leo.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 Waziri wa Ujenzi, Dkt. Jhn Pombe Magufuli, wakifurahia burudani ya 
muziki wa dansi kutoka kwa bendi ya Msondo Ngoma, wakati walipowasili 
eneo la kuweka Jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya Nyaguge-Musoma, 
sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi Musoma, leo.

Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akivishwa vazi la Jadi na mzee wa Mkoa wa Mara, Thomas Sura, wakati 
akiwa katika ziara yake ya siku mbili mkoani Mara na kuweka Jiwe la 
Msingi ukarabati wa Barabara ya Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka 
wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi Musoma, leo.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal 
na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia vazi la Jadi baada ya kukabidhiwa 
na mzee wa Mkoa wa Mara, Thomas Sura, wakati wakiwa katika ziara yao ya 
siku mbili mkoani Mara na kuweka Jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya
 Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi 
Musoma, leo.
Wasanii
 wa Kikundi cha sanaa wakitoa burudani wakati wa hafla ya uwekaji wa 
Jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka
 Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi Musoma, leo Feb 4, 2013. Jiwe 
hilo limewekwa na Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
 Waziri
 wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akishiriki kupiga ngoma na kikundi
 cha Sanaa za asili, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi 
ukarabati wa Barabara ya Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa
 ya Simiyu na Mara hadi Musoma, leo Feb 4, 2013. Jiwe hilo limewekwa na 
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
 Bilal.
 Ilikuwa ni burudani ya kutosha kutoka kwa kikundi hicho.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiwahutubia wananchi wa Musoma leo Feb 4, 2013 wakati alipofika eneo 
hilo kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi ukarabati wa Barabara ya 
Nyaguge-Musoma, sehemu ya kutoka Mpaka wa Mikoa ya Simiyu na Mara hadi 
Musoma.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 mkewe Mama Asha Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli na 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Gabriel Tupa, kwakiwa katika picha ya pamoja 
na baadhi ya viongozi.

Post a Comment