Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank’s Patrick Dewide na Mkurugenzi
Mtendaji wa Citibank Tanzania Joseph Carasso (kushoto) wakati walipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.( Picha na
OMR).
on Tuesday, March 12, 2013
Post a Comment