Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda,
akionekana jinsi alivyojeruhiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri,
ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom
Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,
baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia
nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye
pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda,
aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya
kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani
kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama
cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari tanzania (MOAT) ambaye pia ni Mwenyekiti
Mtendaji wa Kampuni ya IPP Ltd, Regnard Mengi.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Post a Comment