Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATOKEO YA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE HAYA HAPA .... CHENGE, LOWASSA WAPETA UENYEVITI

5



1

Katibu wa Bunge Ndg. John Joel akitangaza Matokeo ya wenyeviti na Makamu wa Wenyeviti mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa viongozi hao katika kamati zote za Bunge leo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa kamati za Bunge Ndg. Theonist Luhirabake na kulia ni Afisa Habari wa Bunge Ndg. Owen Mwandumbya13Wajumbe wa Kamati ya PAC wakiteta na Mhe. John Cheyo anaye tetea kiti chake cha uenyekiti wa kamati 15Mhe. David Kafulila akimpongeza Mhe. James Lembeli mara baada ya kupita bila kupingwa kwa nafasi ya uenyekiti wa kamati ya Ardhi  Maliasili na Mazingira 

5. Msimamizi wa Uchaguzi katika kamati ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa kimataifa Bi. Justina Shauri akiwapa maelezo ya awali wajumbe wa kamati hiyo kabla ya kuchagua viongozi wao.  Msimamizi wa Uchaguzi katika kamati ya Ulinzi na Usalama Ndg. Peter Magati akiwapa maelezo ya awali wajumbe wa kamati hiyo kabla ya kuchagua viongozi wao.

8Katibu wa Kamati ya PAC Bi. Lina Kitosi ambaye pia ndiye msimamizi wa uchaguzi akiwaonesha wajumbe wa kamati hiyo karatasi maalum ya kupigia kula kabla ya uchaguzi kufanyika

9Mgombea nafasi ya Uwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akinadi sera zake mbele ya wajumbe wa kamati hiyo kabla ya kufanyika kwa uchaguzi leo

12Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti katika kamati ya LAAC Mchungaji Israel Natse nae akinadi sera zake

credits: Lukaza Blog

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE





Baada ya Mhe. Spika kutangaza rasmi Orodha ya Wajumbe wapya katika kila Kamati za Kudumu za Bunge na Kwa kuzingatia kanuni ya 113 (10) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, wajumbe wa Kamati hizo za Kudumu za Bunge walioteuliwa, wamefanya uchaguzi wa Wenyeviti na Makamau Wenyeviti. Matokeo ya Uchaguzi huo, ni kama yanavyoonekana katika jedwali hapa chini.

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE

JINA LA KAMATI
MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI
1.
FEDHA NA UCHUMI
1. Mhe. Mohamed Mgimwa,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Luke Paschal Kitandula.Mb-Makamu Mwenyekiti
2.
BAJETI
1. Mhe. Andrew Chenge,Mb – Mwenyekiti
2- Makamu Mwenyekiti (Uchaguzi utafanyika Jumatatu)
3.
PAC
1. Mhe. Kabwe Zitto Zuber,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Deo Haule filikunjombe -Makamu Mwenyekiti
4.
LAAC
1. Mhe. Rajab Mbarouk Mohammed,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Suleiman Jumanne Zedi,Mb - Makamu Mwenyekiti
5.
HUDUMA ZA JAMII
1. Mhe. Margareth S. Sitta,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Stephen Ngonyani,Mb-Makamu Mwenyekiti
6.
MAENDELEO YA JAMII
1. Mhe. Jenista Mhagama,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Saidi Mohamed Mtanda,Mb-Makamu Mwenyekiti
7.
NISHATI NA MADINI
1. Mhe. Victor Kilasile Mwambalasa,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Jerome Bwanausi,Mb-Makamu Mwenyekiti
8.
ARDHI , MALIASILI NA MAZINGIRA
1. Mhe. James Lembeli,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Abdulkarim E. Shah,Mb-Makamu Mwenyekiti
9.
MIUNDOMBINU
1. Mhe.Peter Serukamba,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Prof. Juma Kapuya,Mb-Makamu Mwenyekiti
10.
TAMISEMI
1. Mhe.Hamis Andrea Kigwangalla,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.John Paul Lwanji,Mb-Makamu Mwenyekiti
11.
MASUALA YA UKIMWI
1. Mhe.Lediana M. Mng’ong’o,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Diana M. Chilolo,Mb-Makamu Mwenyekiti
12.
ULINZI NA USALAMA
1. Mhe.Anna Margath Abdallah, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Mohamed Seif Khatib,Mb-Makamu Mwenyekiti
13.
MAMBO YA NJE
1. Mhe.Edward N. Lowassa,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Mussa Zungu,Mb-Makamu Mwenyekiti
14.
KATIBA , SHERIA NA UTAWALA
1. Mhe.Pindi H. Chana ,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. William Ngeleja,Mb-Makamu Mwenyekiti
15.
MAADILI
1. Mhe.Brig. Hassan Athuman Ngwilizi, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.John Zephania Chilingati,Mb-Makamu Mwenyekiti
16.
KILIMO, MIFUGO NA MAJI
1. Mhe. Prof. Peter Msolwa, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Said Nkumba, Mb-Makamu Mwenyekiti

Imetolewa na:
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa.
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM
 

MAJINA YA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE


KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE
_____________________

1
Mhe. Anne Semamba Makinda, MB (Spika)
2
Mhe. Job Yustino Ndugai, MB (N/Spika)
3
Mhe. Tundu Antiphas Mughway Lissu, Mb
4
Mhe. Andrew John Chenge, Mb
5
Mhe. Musa Azzan Zungu,Mb
6
Mhe. Dkt.Titus Mtengeya Kamani, Mb
7
Mhe. Jenista Joakim Mhagama, Mb
8
Mhe. William Mganga Ngeleja, Mb.
9
Mhe. Amina Abdallah Amour, Mb
10
Mhe. James Francis Mbatia, Mb
11
Mhe. Hamad Rashid Mohammed, Mb
12
Mhe. Jasson Samson Rweikiza, Mb
13
Mhe. Philapa Godifrey Mturano, Mb
14
Mhe. Anna Margareth Abdallah,Mb
15
Mhe. Christopher Ole-Sendeka, Mb





KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE
_____________________
1.
Mhe. Augustino Lyatonga Mrema, Mb
2.
Mhe. Riziki Omar Juma, Mb

3.
Mhe. Assumpter Nshunju Mshama, Mb
4.
Mhe. Brig. Gen. Hassan Athuman Ngwilizi, Mb
5.
Mhe. Agripina Zaituni Buyogera, Mb

6.
Mhe. Said Juma Nkumba, Mb
7.
Mhe. John Paul Lwanji, Mb
8.
Mhe. Mch. Israel Yohana Natse, Mb
9.
Mhe. Capt. John Zefania Chiligati, Mb
10.
Mhe. Betty Eliezer Machangu, Mb
11.
Mhe. Said Amour Arfi, Mb
12.
Mhe. Gosbert Begumisa Blandes, Mb

13.
Mhe. Augostino Manyanda Masele, Mb
14.
Mhe. Dkt. Lucy Sawere Nkya, Mb
15.
Mhe. Rashid Ali Abdallah, Mb



















KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI
______________________
1
Mhe. Said Suleiman Said,Mb
2
Mhe.Ahmed Ali Salum,Mb
3
Mhe. Maida Hamad Abdallah,Mb
4
Mhe.Lediana Mafuru Mung’ong’o ,Mb
5
Mhe. Maria Ibeshi Hewa, Mb
6
Mhe. Chiku Aflah Abwao, Mb
7
Mhe.Omary Ahmad Badwel, Mb
8
Mhe. Mbarouk Salim Ali, Mb
9
Mhe. Rashid Ali Omar, Mb
10
Mhe. Lameck Okambo Airo, Mb
11
Mhe. Lucy Thomas Mayenga, Mb
12
Mhe. AnaMaryStella John Mallac, Mb
13
Mhe. Mch. Luckson Ndaga Mwanjale, Mb
14
Mhe. Mwanamrisho Taratibu Abama, Mb
15
Mhe.Diana Mkumbo Chilolo, Mb
16
Mhe. Ignus Aloyce Malocha, Mb
17
Mhe. Saidi Ally Selemani Bungara, Mb
18
Mhe. Iddi Mohamed Azzan, Mb
19
Mhe. Neema Mgaya Hamid Mb
20
Mhe. Sara Msafiri Ally, Mb
21
Mhe. Dkt. Engelbert Faustine Ndugulile, Mb
22
Mhe. Maulidah Anna Valerian Komu Mb


KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
__________________

1
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, Mb
2
Mhe. Anastazia James Wambura, Mb
3
Mhe.John Magale Shibuda, Mb
4
Mhe. Khalifa Suleiman Khalifa, Mb
5
Mhe. Muhammad Ibrahimu Sanya, Mb
6
Mhe. Leticia Mageni Nyerere, Mb
7
Mhe.Thuwayba Idrisa Muhamed, Mb
8
Mhe. Susan Anselm Jerome Lymo, Mb
9
Mhe.Faith Mohamed Mitambo,Mb
10
Mhe.Juma Selemani Nkamia, Mb
11
Mhe. Betty Eliezer Machangu, Mb
12
Mhe. Selemani Saidi Jafo,Mb
13
Mhe. Mussa Azzan Zungu,Mb
14
Mhe.Salim Hemed Khamis,Mb
15
Mhe. Eng. Yussuf Hamad Masauni,Mb



























KAMATI YA BAJETI
1
Mhe. Andrew John Chenge, Mb
2
Mhe. Christine Mughway Lissu,Mb.
3
Mhe. Kidawa Hamid Saleh,Mb
4
Mhe. Mansoor Shaniff Hiran, Mb
5
Mhe. Amina Abdallah Amour, Mb
6
Mhe. Joseph Roman Selasini, Mb
7
Mhe. Josephat Sinkamba Kandege,Mb
8
Mhe. Dkt. Cyril August Chami,Mb
9
Mhe. Dkt. Bulugu FetusLimbu,Mb
10
Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba, Mb
11
Mhe. Assumpter N. Mshama,Mb
12
Mhe.James Francis Mbatia, Mb
13
Mhe. Beatrice Matumbo Shellukindo, Mb
14
Mhe. Hamad Rashid Mohamed, Mb
____________________






























KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
___________________________________________________


1
Mhe . Abas Zuberi Mtemvu, Mb
2
Mhe. Tundu Antiphas Mughway Lissu, Mb
3
Mhe. Gosbert Bagumisa Blandes
4
Mhe. Pindi Hazara Chana,Mb
5
Mhe. Nimrod Elirehema Mkono,Mb
6
Mhe. Felix Francis Mkosamali,Mb
7
Mhe. Nyambari Chacha Mariba Nyangwine, Mb
8
Mhe. Fakharia Khamis Shomari, Mb
9
Mhe. Rukia Kassim Ahmed, Mb
10
Mhe. Jaku Hashim Ayoub, Mb
11
Mhe. Mustapha Boay Akunaay, Mb
12
Mhe. Ramadhan Haji Saleh, Mb
13
Mhe. Jasson Samson Rweikiza, Mb
14
Mhe. William Mganga Ngeleja,Mb
15
Mhe. Deogratias Aloyce Ntukamazina , Mb
16
Mhe. Ali Khamis Seif, Mb
17
Mhe. Mariam Reuben Kasembe, Mb
18
Mhe. Abdallah Sharia Ameir, Mb
19
Mhe. Halima James Mdee, Mb



KAMATI YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA

1
Mhe. Mahmoud Hassan Mgimwa,Mb
2
Mhe. Eng. Habib Juma Mnyaa, Mb
3
Mhe. Margaret Agness Mkanga,Mb
4
Mhe. Haji Khatib Kai,Mb
5
Mhe.Ester Lukago Minza Midimu,Mb
6
Mhe. Hassein Nassor Amar,Mb
7
Mhe. Ahmed Juma Ngwali, Mb
8
Mhe. Luhaga Joelson Mpina Mb
9
Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani, Mb
10
Mhe. Joyce John Mukya, Mb
11
Mhe. David Zakaria Kafulila, Mb
12
Mhe. Shawana Bukhet Hassan,Mb
13
Mhe. Said Mussa Zubeir, Mb
14
Mhe. Vicky Pascal Kamata, Mb
15
Mhe. Naomi Ami Mwakyoma Kaihula,Mb
16
Mhe.Khatibu Said Haji,Mb
17
Mhe. Freeman Aikael Mbowe, Mb
19
Mhe.Amina Mohamed Mwidau,Mb
20
Mhe. Josephine Jonson Genzabuke, Mb
21
Mhe. Dunstun Luka Kitandula,Mb
22
Mhe. Mohamed Hamis Misanga, Mb







KAMATI YA ULINZI NA USALAMA
____________________

1
Mhe. Brig.Gen. Hassan Athumani Ngwilizi,Mb
2
Mhe. Anna Margreth Abdallah,Mb
3
Mhe. Dkt. Muhamed Seif Khatib, Mb
4
Mhe. Capt. John Zefania Chiligati, Mb
5
Mhe. Augustino Manyanda Masele, Mb
6
Mhe. Masoud Abdallah Salim, Mb
7
Mhe. Mussa Hassan Mussa, Mb
8
Mhe. Omar Rashid Nundu,Mb
9
Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb
10
Mhe. Cynthia Hilda Ngoye, Mb
11
Mhe. Henry Daffa Shekiffu, Mb
12
Mhe.Vita Rashid Mfaume Kawawa, Mb
13
Mhe. David Mciwa Mallole,Mb
14
Mhe. Hamad Ali Hamad, Mb
15
Mhe. Rachel Mashishanga Robert, Mb
16
Mhe. Mch. Augustino Lyatonga Mrema, Mb
17
Mhe. Vincent Josephat Nyerere, Mb











KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII
________________________
22 Mhe. Chrisowaja Gerson Mtinda, Mb
1
Mhe.Fatuma Abdallah Mikidadi, Mb
2
Mhe. Ritta Louise Mlaki, Mb
3
Mhe. Riziki Omari Juma, Mb
4
Mhe. Salome Daudi Mwambu, Mb
5
Mhe. Ali Juma Haji, Mb
6
Mhe. Faki Haji Makame, Mb
7
Mhe. Margareth Simwanza Sitta, Mb
8
Mhe. Ezekia Dibogo Wenje, Mb
9
Mhe. Agripina Zaituni Buyogera, Mb
10
Mhe. Juma Sururu Juma, Mb
11
Mhe. Mch. Dkt. Getrude Pangalile Rwakatare, Mb
12
Mhe. Abia Muhama Nyabakari, Mb
13
Mhe. Zabein Mhaji Mhita,Mb
14
Mhe. Mohamed Gulam Dewji, Mb
15
Mhe. Dkt. Anton Gervas Mbasa, Mb
16
Mhe. Steven Hilari Ngonyani,Mb
17
Mhe. Martha Jachi Umbulla, Mb
18
Mhe. Prof. Kulikoyela Kanalwanda Kahigi, Mb
19
Mhe. Asnain Muhamed Murji, Mb
20
Mhe. Cecilia Daniel Paresso, Mb
21
Mhe. Abdulaziz Muhamed Aboud, Mb


MAENDELEO YA JAMII
________________________

1
Mhe. John Damiano Komba, Mb
2
Mhe. Moza Abedi Saidy,Mb
3
Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi, Mb
4
Mhe. Mohamed Said Mohammed, Mb
5
Mhe. Nasib Suleiman Omar, Mb
6
Mhe. Mustafa Haidi Mkulo,Mb
7
Mhe. Jenista Joakim Mhagama, Mb
8
Mhe. Salum Halfan Barwany,Mb
9
Mhe. Kiumbwa Makame Mbaraka
10
Mhe. Salvatory Naluyaga Machemuli,Mb
11
Mhe. Livingstone Joseph Lusinde, Mb
12
Mhe. Saidi Mohamed Mtanda,Mb
13
Mhe. Agness Elias Hokororo, Mb
14
Mhe. Godbless Jonathan Lema, Mb
15
Mhe.Mary Pius Chatanda, Mb
16
Mhe.Juma Othman Ali, Mb
17
Mhe. Jaddy Simai Jaddy, Mb
18
Mhe. Dkt. Maua Abeid Daftar, Mb
19
Mhe. Albert Obama, Ntabaliba, Mb
20
Mhe.Rose Kamili Sukum, Mb
21
Mhe.Rosemary Kasimbi Kirigini, Mb
22. Mhe. Joshua Samwel Nassari, Mb
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
_________________________________
1.
Mhe. Prof. David Homeli Mwakyusa, Mb
2.
Mhe. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma, Mb
3.
Mhe. Asaa Othman Hamad, Mb
4.
Mhe. Abdulsalaam Selemani Ameir, Mb
5.
Mhe. Said Juma Nkumba, Mb
6.
Mhe. Abdllah Haji Ali, Mb
7.
Mhe. Haji Juma Sereweji,Mb
8.
Mhe. Lolensia Masele Bukwimba, Mb
9.
Mhe. Mch. Peter Simon Misigwa, Mb
10.
Mhe. Prof. Peter Mahmudu Msolla, Mb
11.
Mhe. Nameloki Edward Moringe Sokoine, Mb
12.
Mhe. Dkt. Lucy Sawere Nkya, Mb
13.
Mhe. Sylvestry Francis Koka, Mb
14.
Mhe. Kheri Khatib Ameir, Mb
15.
Mhe.Meshack Jeremia Opulukwa,Mb
16.
Mhe. Philemon Kiwelu Ndesamburo, Mb
17.
Mhe. Jitu Vrajlal Soni, Mb
18.
Mhe. Sadifa Juma Khamis, Mb
19.
Mhe.Donald Kelvin Max, Mb
20.
Mhe. Moshi Selemani Kakoso, Mb
21.
Mhe. Subira Khamis Mgalu, Mb
22.
Mhe.Magdalena Hamisi Sakaya, Mb



KAMATI YA MIUNDOMBINU
1
Mhe. Peter Joseph Serukamba, Mb
2
Mhe. Maryam Salum Msabaha, Mb
3
Mhe. Clara Diana Mwatuka, Mb
4
Mhe. Zamda Shamte Madabida, Mb
5
Mhe. Innocent Edward Kalogeris, Mb
6
Mhe. Hussein Mussa Mzee, Mb
7
Mhe. Aliko Nikusuma Kibona, Mb
8
Mhe. Said Ramadhani Bwanamdogo, Mb
9
Mhe. Zahra Ali Hamad, Mb
10
Mhe. Ahmed Mabkhut Shabiby,Mb
11
Mhe. Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe, Mb
12
Mhe.Mussa Haji Kombo, Mb
13
Mhe. Prof. Juma Athuman Kapuya, Mb
14
Mhe. Mtutura Abdallah Mtutura, Mb
15
Mhe. Abdul Rajab Mteketa, Mb
16
Mhe. Suleiman Masoud Nchambi, Mb
17
Mhe. Saidi Amour Arfi, Mb
18
Mhe. Eng. Ramo Matala Makani, Mb
19
Mhe. Rebecca Michael Mngodo, Mb
20
Mhe. Elizabeth Nkunda Batenga, Mb
_____________________
































21. Mhe. Haroub Mohamed Shamsi, Mb







KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI
___________________

1
Mhe. Deusiderius John Mipata, Mb
2
Mhe. Deo Haule Filikunjombe, Mb
3
Mhe. Asha Mshimba Jecha, Mb
4
Mhe. Lucy Philemon Owenya, Mb
5
Mhe.Ester Nicholas Matiko, Mb
6
Mhe. John Momose Cheyo, Mb
7
Mhe. Kabwe Zitto Zuberi, Mb
8
Mhe.Zainab Matitu Vulu, Mb
9
Mhe. Ally Keissy Mohamed, Mb
10
Mhe. Zainab Rashid Kawawa, Mb
11
Mhe. Kheri Ali Khamis, Mb
12
Mhe. Faida Mohamed Bakari, Mb
13
Mhe. Ismael Aden Rage,Mb
14
Mhe.Modestus Dickon Kilufi, Mb
15
Mhe. Abdul Jabir Marombwa, Mb
16
Mhe.Gaudence Casssian Kayombo, Mb
17
Mhe. Kombo Khamis Kombo, Mb
18
Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb





KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
_______________________________________
1
Mhe. Tauhida Cassian Galosi Nyimbo, Mb
2
Mhe. Dunstan Daniel Mkapa, Mb
3
Mhe. Azza Hillal Hamad, Mb
4
Mhe. Yahya Kassim Issa, Mb
5
Mhe. Menrad Lutengano Kigola,Mb
6
Mhe. Bahati Ali Abeid, Mb
7
Mhe. Kulthum Jumanne Mchuchuli, Mb
8
Mhe. Rajab Mbarouk Mohammed,Mb
9
Mhe. Yusuph Abdallah Nassir, Mb
10
Mhe. Philipa Geofrey Mturano, Mb
11
Mhe. Eustas Osler Katagira, Mb
12
Mhe. Muhonga Said Ruhwanywa, Mb
13
Mhe. Munde Tambwe Abdallah, Mb
14
Mhe. Ezekiel Magolyo Maige,Mb
15
Mhe. Mch. Israel Yohana Natse, Mb
16
Mhe. Alfaxard Kange Lugola, Mb
17
Mhe. Felista Aloyce Bura, Mb
18
Mhe.Suleiman Jumanne Zedi, Mb






KAMATI YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
_________________________
1
Mhe. John Paul Lwanji,Mb
2
Mhe. Hamis Andrea Kigwangalla,Mb
3
Mhe.Godfrey Weston Zambi, Mb
4
Mhe. Highness Samson Kiwia, Mb
5
Mhe. Benardetha Kasabago Mushashu, Mb
6
Mhe. Asha Mohamed Omari, Mb
7
Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe, Mb
8
Mhe. Rosweeter Faustine Kasikila, Mb
9
Mhe. Christopher Olonyokie Ole-Sendeka, Mb
10
Mhe. Eugen Elishininga Mwaiposa, Mb
11
Mhe. Rashid Ali Abdallah, Mb
12
Mhe. Eng. Athuman Rashid Mfutakamba, Mb
13
Mhe.Pauline Gekul,Mb
14
Mhe. Sabreena Hamza Sungura,Mb
15
Mhe. Mkiwa Adam Kimwanga, Mb
16
Mhe.Mariam Salum Mfaki, Mb
17
Mhe. Moses Joseph Machali, Mb
18
Mhe. Sylvester Masele Mabumba,Mb
19 Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, Mb
20. Mhe. Conchesta Leone Rwamulaza, Mb



KAMATI YA NISHATI NA MADINI
__________________________
1
Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa, Mb
2
Mhe. Saleh Ahmed Pamba, Mb
3
Mhe. Josephine Tabitha Chagulla Mb
4
Mhe. David Ernest Silinde, Mb
5
Mhe. Martha Moses Mlata, Mb
6
Mhe. Devotha Mkuwa Likokola, Mb
7
Mhe. Raya Ibrahim Khamis, Mb
8
Mhe. Mariam Nassor Kisangi, Mb
9
Mhe.Murtaza Ally Mangungu, Mb
10
Mhe. Juma Abdallah Njwayo, Mb
11
Mhe. Jerome Dismas Bwanausi, Mb
12
Mhe. Richard Mganga Ndassa Mb
13
Mhe. Anne Kilango Malecela , Mb
14
Mhe. Charles John Paul Mwijage, Mb
15
Mhe. Herbert James Mntangi, Mb
16
Mhe. Shaffin Ahmedali Sumar, Mb
17
Mhe. Yussuf Haji Khamis, Mb
18
Mhe. Riziki Saidi Lulida, Mb































KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
_________________________________

1.
Mhe. James Daud Lembeli, Mb
2.
Mhe. Abdulkarim Esmail Hassan Shah, Mb
3.
Mhe. Sylvester Mhoja Kasulumbayi,Mb
4.
Mhe. Zakia Hamdani Meghji,Mb
5.
Mhe. Susan Limbweni Aloyce Kiwanga,Mb
6.
Mhe. Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa, Mb
7.
Mhe. Muhamad Amour Chomboh, Mb
8.
Mhe. Waride Bakar Jabu, Mb
9.
Mhe. Kaika Saning’o Telele, Mb
10.
Mhe. Amina Andrew Clement,Mb
11.
Mhe. Ester Amos Bulaya, Mb
12.
Mhe. John John Mnyika, Mb
13.
Mhe. Michael Lekule Laizer, Mb
14.
Mhe. Mwanakhamis Khasim Said, Mb
15.
Mhe. Salim Hemed Khamis, Mb
16.
Mhe. Al-Shymaa Kwegyr, Mb
17.
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Mb
18.
Mhe. Salim Abdullah Turky, Mb
19.
Mhe. Abuu Hamoud Juma, Mb
20.
Mhe. Kisyeri Werema Chambiri, Mb
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top